East Africa Radio - PLANET BONGO (saa 7:00 Mchana) Je, msanii gani mpya mwaka huu ambaye ni bora kwako na unamshauri nini ili mwakani aweze kufanya vizuri? Pia tutakuwa na Harmonize studio
Mkito - Hivi karibuni msanii wa Bongo Flava Jux ameachia wimbo mpya "Looking For You" akimshirikisha Rapper Joh Makini. 'Looking For you' sasa upo namba 3 kwenye chati za Mkito! Pakua hapa:
![Jux kudondosha video mpya “I'm Looking for you” feat. Joh Makini kwa mara ya kwanza kwenye #Exclusive ya MTV Base Africa! Jux kudondosha video mpya “I'm Looking for you” feat. Joh Makini kwa mara ya kwanza kwenye #Exclusive ya MTV Base Africa!](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/08/jux.jpg)